BLOGGER TEMPLATES AND TWITTER BACKGROUNDS »

Promo

Promo

Tuesday, October 12, 2010

European Film Festival kufanyika october 14 mwaka huu.


TAMASHA la European Film Festival linatarajiwa kufanyika mwaka huu tarehe 14 october katika maeneo ya New World Cinema hapa jijini Dar es salaam,kwa muda wa wiki tatu mpaka tarehe 7 november.


Filamu kutoka nchi za ulaya na Tanzania zitaonesha kila siku. Pia kutakuwa na screen kubwa litakalo wekwa mnazi mmoja kwa siku za jumamosi na jumapili kasoro siku ya tarehe 31 october siku ya uchaguzi mkuu hapa Tanzania.


No comments:

Post a Comment