BLOGGER TEMPLATES AND TWITTER BACKGROUNDS »

Promo

Promo

Thursday, September 8, 2011

HARAMBEE YA MSAIDIE MZEE KIPARA YAANZISHWA


Unamfahamu msanii mkongwe anayekwenda kwa jina la Mzee Kipara, kama ni hivyo basi tunahitaji kumsaidia mzee wetu amekuwa akisumbuliwa miguu kwa muda mrefu sana kwa kifupi Mzee wetu anasumbuliwa na magonjwa mengi ila kwa sasa ni miguu ndio inayomsumbua sana kutoa ni moyo wa wala si utajiri mimi kwa upande wangu nitajitoa kwa hali na mali lakini pia bado tunaomba misaada kutoka kwa wasamalia wema kampuni Global Publisher iliweza kumpa cm ili haweza kutumia kwa njia ya M PESA ili iweze kumsaidia kwa urahisi zaidi namba ni 0753 923454 Asanteni sana

No comments:

Post a Comment