BLOGGER TEMPLATES AND TWITTER BACKGROUNDS »

Promo

Promo

Saturday, September 10, 2011

'UNPREDICTABLE' coming soon...


Katika hali ya kuonekana kukua kwa fani ya filamu Tanzania wasanii mbali mbali wamekuwa wakifanya jitihada katika kuhakikisha wanatoa kazi mpya mara kwa mara ili kuweza kuliteka soko la filamu Tanzania kikamilifu.
Msanii Vicent kigosi ama Ray ni mmoja wa wasanii hao ambao katika kila hali wanajitahidi kipiga hatua ili kuhakikisha soko hili linabaki katika hali ya kuwapatia faida wanapofanya kazi zao.
Hivi karibu alikuwa chimbo kuandaa filamu yake mpya na kwa mujibu wa blog yake filamu yake iko katika hatua za mwisho na inatarajiwa kutoka hivi karibuni.
Filamu hiyo mpya itakayo toka soon itajulikana kwa jina la UNPREDICTABLE (Chagua la mama).


No comments:

Post a Comment