BLOGGER TEMPLATES AND TWITTER BACKGROUNDS »

Promo

Promo

Thursday, September 8, 2011

MURPHY KU-HOST TUZO ZA OSCAR



Msanii na mchekeshaji kutoka nchini Marekani Eddie Murphy anatarajiwa ku- host event mojawapo kubwa sana ambayo hutokea kila mwaka ya tuzo za filamu ya Oscar 8th Movie Awards inayotarajiwa kufanyika mwezi February.
Event hiyo ambayo itarushwa na zaidi ya televisheni 200 duniani inatarajiwa kufanyika mwezi huo tarehe 26 katika maeneo ya Hollywood’s Kodak theatre nchini humo.

Muphy ambaye alianza kuigiza filamu za vichekesho akiwa na umri a miaka 15, na alipofikia umri wa miaka 19 aliibuka kinara mwenye umri mdogo katika kipindi cha tamthiliya cha televisheni kijulikanacho kama “Saturday Night Live" miaka ya 1980.

Aliingia rasmi katika filamu miaka ya 1982's alipotoka na "48 Hrs." na ilifatiwa na filamu ya "Beverly Hills Cop" na "The Nutty Professor" na "Shrek" franchises. Muvi za Murphy zimempatia kiasi cha zaid ya $7 billion katika mauzo ya box offices duniani, kwa mujibu wa Academy's news release.




No comments:

Post a Comment