BLOGGER TEMPLATES AND TWITTER BACKGROUNDS »

Promo

Promo

Tuesday, April 10, 2012

LIVE UPDATES ZA MSIBA WA MAREHEMU STEVEN KANUMBA KUTOKA VIWANJA WA LEADERS DAR ES SALAAM...!!!


 eneza lililobeba mwili wa Marehemu limewasili.Watu wanalia kwa uchungu sana.Wengi wanagombania kuligusa
 Kwa mbele

 Umati wa watu uwanjani hapo
Mama yake Kanumba akipungia watu waliofika msibani hapo
 Mama Salma Kikwete akitoa heshima zake za mwisho
 Mh. Membe akitoa heshima zake za mwisho


 Jeneza lenye Mwili wa Marehemu,Steven Kanumba likiwasili kwenye Viwanja vya Leaders Club,jijini Dar es Salaam asubuhi hii.  Makamu wa Rais,Dkt. Mohamed Gharib Bilal akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Steven Kanumba asubuhi hii kwenye viwanja vya Leaders Club,Jijini Dar es Salaam.akifuatiwa na Mkewe,Pamoja na Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete (mwenye nguo nyeupe kulia). 
Mh. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu akitoa heshima za mwisho.



Habari ni kwa hisani ya jestinageorge.com 

No comments:

Post a Comment